.:[Double Click To][Close]:.

JACOB STEPHEN ANASTAHILI KUPATA AWARD!

Katika bongo movies hakuna msanii wa kiume naempenda kama Jacob Stephen( jb),huyu baba anajua kuuvaa uhalisi wa hali yoyote na mazingira yoyote.Kikubwa anachonivutia au kuvutia wengi ni yupo serious na kazi yake  mpaka unaona  hapa ana act sio michezo ya kuigiza.Jb amepata awards za ziff toka Zanzibar ya mwigizaji bora wa kiume kupitia movie yake´' Senior Bachelor'he deserves it ameipata kihalali kabisa.kwa wanaopenda angalia movie za kibongo ingia  http://www.greatlakesmixmovies.com/



 Jb anakipaji kikubwa kupita wasanii wa kiume wengine wote hapo bongo sema  bado hajafanikiwa sana, kama wakina kanumba na Ray siku yake ikifika naona ataleta mabadiliko makubwa kwenye movies za bongo.