Hawa ni miongoni mwa momies wanaoni inspire kwenye world of fashion ukianzia kiatu mpaka kichwani nikimanisha kisa na nancy at the same time ni hottie momies kama unavyo wanaona ila kawaida lazima kuna mmoja anakuwa hottest kuzidi mwenzake sasa hapa yupo nancy ,kissa na jully(mumy b)lazima nijiweke hottie kama wao sasa leo nipo nao . je wewe unaona nani anakubamba.
NB
kuwa mama mlezi sio sababu ya kujichukia na kujiacha mchafu sote hapa ni momies na tunajipenda kama kawa kama dawa.
kuwa mama mlezi sio sababu ya kujichukia na kujiacha mchafu sote hapa ni momies na tunajipenda kama kawa kama dawa.