.:[Double Click To][Close]:.

AMY WINEHOUSE BRITISH SINGER FOUND DEAD!

Mwanamziki wa british Amy winehouse amekutwa amefariki nyumbani kwake,mjini london polisi wamesema haijajulikana chanzo cha kifo chake,japo kuwa kuna rumors ya kwamba ni madawa ya kulevya huenda alijiover dose.


Amy rose enzi za uhai hapo alikuwa bado hajaanza kutumia madawa ya kulevyea
amefariki akiwa na miaka 27 ,alikuwa akiimba R&B,jazz na soul.alishashinda awards tofauti kama Grammy award,brit award,alishakuwa mwanamziki wa 3 mwenye mauzo makubwa UK ya album zake.

  
Amy alishakuwa teja wa madawa na yalishamwadhiri ,alikonda na kubaki mifupa utasema sie yeye.ingawa familia yake ilichukua nafasi kubwa ya kumbadili ila ikashindikana R.I.P Amy.
.