.:[Double Click To][Close]:.

DIDA AFUNGA TOA KWA AWAMU YA PILI

Hatimae mwanadada Dida afunga pingu za maisha kwa awamu ya pili,binafsi kanifurahisha na mungu amuongoze na ndoa yake mana alisimangwa sana na magazeti ya udaku.

                                                 
Alipendeza mwenyewe na gauni pembeni akiwa na shost wake Sauda Mwilima.


        
HUYU NDIO MMEWE

                                                              

                                    
mashost walipokuwa saloon wakipambwa kabla ya ndoa.

          
Sauda sikuizi amefunguka kwenye swala na makeup amekuwa anapaka vizuri na kupendeza hongera mama kwa kukubali ukweli wa maneno ya watu na ukalifanyia kazi ni wachache wenye moyo huo .