.:[Double Click To][Close]:.

JE NINI KITAMSAIDIA MWANAMKE ANAENUKA NYETI ZAKE!

Jamani msipate mfadhaiko au mshtuko kwa kichwa cha habari hapo juu.mkajiuliza maswali mengi bila majibu imekuwaje nikaandika vitu hivi sehemu kama hii,nimeguswa sana na dada mmoja nafanya nae kazi alikuwa anazungumzia jinsi gani anavyoteseka na kunuka kwa sehemu zake za siri na ameshajaribu njia mbali mbali ila zimegonga mwamba,na kiasi cha kwamba ndoa yake ipo matatani ,mmewe kesha mchoka na kiasi chakwamba hampi tena unyumba.

mimi binafsi sikuwa na idear yoyote kubwa ya kumpa kiasi cha kwamba awe ANATUMIA MAJI YA VUGUVUGU YENYE CHUMVI CHUMVI KILA AENDAPO CHOONI NA ASITUMIE SABUNI ZENYE ARUFU KALI KUJIOSHEA HUKO,na kujisafisha mpaka ndani na kutoa ule ute,dhumuni la kuandika humu ni kuwauliza kwa yeyote mwenye kujua lolote juu ya hili jambo tumsaidie mwanamke mwenzetu kuinusuru ndoa au hata wasomi wa hii post nao watanufaika kupitia maoni yako kama nao wanamatatizo kama haya.
Asanten