.:[Double Click To][Close]:.

NYOTA NJEMA HUONEKANA ASUBUHI

                                
lol hii picha inachekesha mno na inashtusha mana mtoto wa miezi kadhaa anajua pesa kiasi hiko mpaka kutoa macho,akifikisha umri wa miaka mitano ile ya kulilia achikilimu na pipi si nibalaa KAMA NDIO MWANAO UTAFANYA NINI?