Thanks giving ni siku kubwa sana kwa wenzetu wamarekani,ambayo hao huisherekea kila mwaka
mwezi wa november ,mwaka huu 2010 Thanks giving itakuwa week hii tarehe 25 ambayo ni alhamis
kama waida mana wanaisherekea siku ya alhamisi kila mwaka.
Maana halisi ya Thanks giving ni sikuu ya kusherekea mavuno,ambapo watu huwa hutoa kushrani ama sadaka na asante kwa mungu,miungu,wafu ,marafiki ,majamaa na ndugu kwa ujumla watu hukutana pamoja
na sherekea na kula vyakula pamoja inayohusisha imani kwa zaidi .pia kuna nchi nyingine nazo pia huwa husherekea thanks giving na kuipa kipaumbele kama siku kubwa kwenye nchini canada,spanish,french,grenada na nerherland.
na huu ndio mlo mkubwa kwa siku ya thanks giving.
haya wana blog happy thanks giving na ´mhave fun na familia zenu.