Miss temeke alikuja na style yake hakutaka bugutha ya matrain wala basi alipowasilia IBM(black party) USA alikodi LIMO kwa raha zake na rafiki zake,hii nimeipenda ukiwanacho tumia,japo kunawatu wame wapiga vidongo ila mie naona poa tu utashuhudia wenzako wanalipanda mpaka lini jipe raha bana.

KITU CHA LIMO CHA UKWELI

MISS TMK AKITOA SHUKRANI KWA DEREVA

KWA RAHA ZAO MASHOST

POSE NYUMA YA LIMO