UUZAJI WA WATOTO WA DOGO NI BIASHARA KONGWE AFRICA,MWANDISHI WA HABARI KENYA ALIAMUA KULIFANYIA KAZI SWALA HILI KWA KUTAFUTA
WAHUSIKAWA BIASHARA HII HARAMU .ALIJIFANYA NI MNUNUZI WA MTOTO NA MWISHOWE AKAWATEGA WAHUSIKA HAWA NI AIBU KUBWA BINADAMU KUMUZA MALAIKA MWENYE WAZAZI WAKE,NA KUMDANGANYA MAMA MTOTO ,MTOTO ULIEMZAA AMEFARIKI KUMBE UNAMFANYIA BIASHARA NI HABARI YA KUSIKITISHA
ANGALIAVIDEO.
PARTY 2
HII INAONYESHA WALIVYOKAMATWA ILA WALIANZIA MWANZONI MWA STORY MWISHONI NDIO UTAONA WALIVYOKAMATWA