Hii ilikuwa ni moja kati ya gauni alizokuwa akizifanyia colletion ya LV, hao kunguru kichwani atanimeshindwa kuwaelewa ni wa kweli wamekaushwa
au ni bandia! je wewe unawaonaje?
nyasha amevaa gauni ya purple wakipiga picha kwa ajili ya magazine ya bazaar
nyasha ni mrefu,wakipiga picha kwa ajili ya V magazine
pose na swagg za blocking color alitoka nalo kwenye Teen vogue .Flaviana matata inabidi azidi kukaza buti mana new upcoming model ndio hao washaanza jitokeza !