W
omen sneakers hii style ya viatu niliona wadada wengi wakiivaa,sehemu mbalimbali za starehe na wengine ndio mtoko wao kwa matembezi ya kawaida..
Celebrity wa majuu wao wanazivaa hivi, na swala la rangi nying ni vibrant colours,je celebrity wa wabongo wanazivaaje women sneaker WOLPER YEYE ALIZIVALIA PENSI
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgpfyGvRtPEeQeJY32qLxkAqKw1E2jBnUBCWQCDuXzyexlyuTMfW5vfnMnxM-lU4NpYxa5wa3arsecvLmQb2ZlNIZfPxTv8uZFedv8w6cUsoZRRRNFAdtNvefsqDUjaUsPnK32KQ8hXG5k/s400/zamaradi.jpg)
ZAMARADI NAE ALIZIVALIA LEGGINGS
Raba hizi kumtoa mtu sexy kwa upande wangu naona ni ngumu au ukizivaa uvae kama rihanna hivyo alivyo zivalia na short pant,zaidi ya hapo sidhani.