.:[Double Click To][Close]:.

MADONA AVUNJA MASHARTI !!

                      Why don´t you let the relatives see Mercy?
                                       MADONNA

Mwanamziki madonna ,amevunja masharti aliyowekeana na wazazi wa mtoto alie adapt.2009 madonna alienda kuadapt mtoto nchini malawi,na alikubaliana na wazazi wa huyo mtoto kwamba watakeep contact na atakuwa anampeleka mtoto kwenda kusalimia wazazi wake,ila madona hakufanya hivyo tangu alipo mchukua mtoto huyo.wazazi wamelalamikia vyombo vya habari,ila madona ajasemalolote juu ya hilo,tungoje tuone atatoa sababu zipi zilizomzuia asimpeleke mtoto.
Brad pritt na Angelina waliadapt mtoto toka Namibia na mwaka jana walimpeleka akasherekea christmass na wazazi wake ilipendeza kwakweli walionyesha mapenzi ya hali ya juu kwenye ile familia.

                                         
                    Maddona na mercy James mtoto alio adapt.

                                  
        Madonna alievaa kanga aliovyoenda adapt mercy malawi.
                                
                                  
         huyu ndio baba yake mercy ,James kambwewa