FASHION BOMB FROM KERI HILSON
Swagg.. za keri hilson nimezipenda ,mana nywele blonde, herrings bone nacklace imejipanga vizuri shingoni,i luv her vertically striped top akavalia bandage skirt,na cock tail vidoleni, chini akamalizia na viatu vya mamba.
cute luking