.:[Double Click To][Close]:.

CHRISTINA WEARS CALYPSO MIX COLOR PUMP

                                 
Christina Aguilera alipanda juzi jukwani kuimba nyimbo ya taifa katika bridgestone super bowl show.alivaa kiatu mixing color by laboutin pump ya red mixed na blue crystal na black leather, she luks cute na suti zake nyeusi,akapaka lipstic nyekundu alimechishia na viatu.Mafashionista's tips ndio hizo unakivalia na nguo yako nyekundu,na unaweza unachagua accessories zinazoendana na rangi moja ya hiko kiatu ukamech, siku ya valentine day tayari kwa outing na hubby.