.:[Double Click To][Close]:.

AJAK IN AUSTRALIA VOGUE MARCH 2011

 Ajak deng ametoka kwenye australia vogue magazine,litaanzwa kuuzwa march 2011.model huyu amechanganya rangi 3 hadi 4 tofauti za nguo kwa pamoja ,na amependeza na kuonekana adorable.hii color mixing ni nzuri
nimeona ataviatu nyake na accessories stay tuned kuona zinaonekanaje.

                                      
                                                   
          ni rangi nne tofauti zimepangwa vizuri na kuvutia akamech na clutch(pochi)

                                                        Vogue-Australia-March-2011-Ajak-Deng-6-570x815
 watu wengi huwa hawapendi kuchanganya rangi wakidhani inachukiza ila naona si kweli naona upangaji wako tu wa rangi ndio unaohitajika.

                                                           
 Top rangi zimeendana zote na zakutulia  ,chini akavaa chui chui ,nywele akaweka blonde,blonde colour sio weupe tu kumbe hata weusi zinatukubali,

                                                     Vogue-Australia-March-2011-Ajak-Deng-5-570x825
Ajak ni msudane ameshafanya kazi ya kutangaza nguo na madesigner wengi wakubwa duniani kama louis vuitton,valentino na marc jacobs.na anasema anatamani ajeafanye kazi na dolce and gabbana's na Gucci in future.