Mimi na mwanangu Brandon anaenifanya niitwe mumy leo, nampenda sana.
Nancy na losh what's a lovely mumy nancy!

Diana na rakhmany

Renatha na Baby Amani

Jesca na linda ,kama mtu na dada yake naipenda hii

Linda na shanelly

Evelina na mwanae
my lovely sister edna , a great mumy nimekosa picha ya mwanae
Summa na mwanae

Betty namwanae

Marday na mwanae
Jalux inawatakia happy momie's day, all your great mama out there,na kwa wale wakina mama kijacho(wajawazito) tunawakaribishwa katika ulimwengu wa umama.