Selena has a sweet style, always she's luking stunning. hair do zake ni simple n lovely lipstic zake zinamsuits ipasavyo.
HOW TO DRESS RUFFLED MINI SKIRT ANYONE HAVE AN IDEA?
Jennifer hudson luks lovely after losing weight,am in luv with her ruffled min skirt but i had no idea how to dress it, nimeona watu wachache walio zivaa na kupendeza nitajaribu nione kama nitakuwa miongoni mwao.
Kiki katika wadada nao wapenda kwa swagg huyu yupo kwenye list yangu .
Mavazi yake mengi yako simple na casual .ruffled shirt naona ni favorites yake anazijulia kuzipangia top.
MAGIC SYSTEM & AWILO LONGOMBA IN SWEDEN JAMANI PATACHIMBIKA BURUDANI YAKE USIPIME,WAPENZI WA MASEBENE KAZI KWENE,KIINGILIO KR 475 TICKET ZINAPATIKANA TAJ MAHAL.CHINI YA MIAKA 18 HAMRUHUSIWI.
3JUN 2011
ITAANZA SAA TATU USIKU HADI SAA TISA ASUBUHI
ADDRESS
MUNCHENBRYGGERIET
TORKEL KNUTSSSOGATAN 2
STOCKHOLM SWEDEN
LOOK OF THE DAY
Momie Obama na mmewe walialikwa kwa Qeen Uk na kwavile amekwenda kwa malkia lazima avae kimalkia akavaa elegant gown toka kwa desgner Tom Ford.
elegant gown yenye criss cross design she luks more natural nywele hakuweka hair extensions .
SELITA EBANKS LUKS TERRIBLE WITH HER NEW HAIR DO
Model selita amebadili hair style from longblack hair to red short hair hii haimsuits kabisa .red hair zake zipo zipo tu,style ya nywele nyekundu amezianzisha riri naona wadada wengi nao wanaijaribu hii rangi ila sio wote inawapendeza kama mwenyewe rihanna,kama msanii jackie wolper wa bongo nae ameiweka ila haijampendeza kiukweli.
CASSIE LUK HOT IN ISABELA MARANT
AM IN LOVING THESE COTTON RAFIA N LEATHER PUMPS,HUO MKANDA WAJUU UNAKAA VIZURI MGUUNI
BEYONCE GOT A MSG FOR GIRLS
Nyimbo inaujumbe mzuri ,style aliocheza humu inafanania na kwaito kwambali, lady B anajua sana kucheza kama unakumbuka nyimbo yake ya single lady nayo alikuja na style nzuri ya kucheza.
ULEVI UNAPOMTAWALA MSICHANA MREMBO INAKUWA HIVI!
Ulevi ukitawala sehemu ya maisha yako tena kwa mwanamke ni mbaya sana. unahatarisha maisha yako kwa kiasi kikubwa sana.mwone mdada mrembo kama huyu aliekwenda kuangalia kinyang'anyiro cha miss dar city center nakunywa pombe mpaka kupitiliza. mdada mzuri anaswagg za mana NA KUMPENDEZA sema pombe ndio inamshusha dhamani yake yote.Mashost wale wenye mchezo huu wa kunywa mpaka kuzimia acheni mtaja bakwa bila kujijua jamani, itawale pombe pombe isikutawale.
MAKEUP HUFICHA MENGI KWA MSANII MERCY OZIOMA
Mercy muigizaji wa movies za nollywood (naija)hapa full mvuto akiwa amepaka makeup na nywele zake alizosuka rasta ila kwa upande wa pili huwezi amini kama ni yeye ,anapokuwa hana makeup na akiwa na nakipara ushindwi sema ni watu wawili tofauti.
I LUV COLOURFUL DRESS FOR SUMMER
Colourful imechukua nafasi this summer haswa rangi ya njano inashamiri kwasas madukani kumejaa njano color.kunapink na orange nayo inavutia pale zinapochanganywa kutoa combination moja ya mvuto kama hili gauni hapa
viatu ni vyarangi ya kutulia sio brity hapa utakuwa hottie.
viatu ni vyarangi ya kutulia sio brity hapa utakuwa hottie.
yellow luks gorg
Fashion huwa haifi ila inapotea tu kwamda na inarejea tena,2008 yellow ilikuwa katika list ya rangi za summer then this year imerudi tena.
Me and my lovely sist Nancy yrs back,tulikuwa tunaenda
kuhave fun na yellow outfit.i real luv her .
Aishwarya Rai Sizzles At Cannes Film Festival 2011 - Photos
Aishwarya Rai is well pouplar name in all over the world. Recently Aishwarya Rai attend the Cannes Film Festival 2011 and on this festival she walks on the Red Carpet at At The 64th Cannes International Film Festival 2011. Aishwarya Rai looks gorgeous and beautiful in the gown and this is her 10th straight appearance on the red carpet of Cannes Film festival. Checkout more Aishwarya Rai Sizzles At Cannes Film Festival 2011 Photos but after brake. (12 Photos)
Vanessa Hudgens Photos at Night of Fashion and Technology with LG Phones Event
Vanessa Hudgens is a cutest and Young American Actress and Singer. Vanessa Hudgens participate with accepting the invitation of Night of Fashion and Technology with LG Phones so we collected Vanessa Hudgens arrived for a Night of Fashion and Technology with LG Mobile Phones hosted by Victoria Beckham and Eva Longoria in West Hollywood. You can checkout more than 60 photos of Vanessa Hudgens but after brake…
Subscribe to:
Posts (Atom)