makeup ndio zinamng'arisha.jionee picha mwenyewe ukweli ni upi juu ya rumours hizi?
mwonekano wake wa sasa na zamani utofauti unaonekana na zote
amepaka makeup je wewe unaonaje hili??
Beyonce baada ya mkorogo na hizo nywele kama mzungu vile .
Beyonce alifanya photo shoot ya L'Oreal magazine na mwonekano mweusi week iliopita, kuwakilisha waafrica leo kaibuka mzungu wasichana tunaangaika na urembo fake wa nini? kama kweli umejichubua shame on you unapiga picha za weusi kumbe unasujudu uzungu.mwanamke yoyote anaejichubua anamanisha ajiamini na mwili wake.