Willow smith mwanamziki mwenye umri mdogo na stylish kuanzia mavazi yake
mpaka nywele,ni mtoto wa will smith aliekuwa mwanamuziki na sasa ni actor wa movies.Binti huyu kila akiwa red carpet anakuwa na style mpya na tofauti.
hii style ilikuwa common kwa celebrity wengi.
rasta zimekuwa design umbo la kopa
hapa katoka na msuko wa twende kilioni.
swagg zake
suruali viatu mana zimeungana.
full mchui chui.
rabacomverse zake sizielewi mana ni double au urembo.
binti anapenda boots huyu zinamzidi ukubwa.
kapendeza ila hizo boot lol.
hii ni best photo yake katoka casual.
mwendo ule ule wa boots
usipomwona na boots basi comverse ndio style zake.
Aliimba nyimbo ya kusifu nywele,mtu unaweza design na watu waka zipenda.
akaipa jina la 'whip my hair' watch a video.