.:[Double Click To][Close]:.

JE WATU WEUSI TUNAPENDEZA NA BLOND HAIR

HILI SWALI HUWA NAJIULIZA MARANYINGI SANA LEO NIMEONA NI BORA NIULIZE
HAPA NAMIE NIWEZE KUJIFUNZA JAPO KIDOGO KUNA WATU WENGINE WANASEMA
KWAMBA MWANAMKE MWEUSI HAPENDEZI NA BLOND HAIR NAWENGINE HUSEMA
INATEGEMEA MTU NA MTU WAKIMANISHA KWA WALE WENYE BROWN COLOUR
KWA HAO BLOND HAIR ZINAWAFAA NA WALE WENYE CHOCOLATE KAMA MIMI HAPA
HAZITUPENDEZI  NA HAPA NIMEMWEKA KERI HILSON NAONA IMEMSUITE POA HIZO NYWELE ,NAKARIBISHA MAONI YENU JAMANI MWENYE LOLOTE UTUPE DARASA.



Keri Hilson
KERI HILSON.